25 Julai
Mandhari
(Elekezwa kutoka Julai 25)
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 25 Julai ni siku ya 206 ya mwaka (ya 207 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 159.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1898 - Marekani inateka Puerto Rico katika vita ya Marekani dhidi Hispania
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1905 - Elias Canetti, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1981
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 306 - Constantius Chlorus, Kaisari wa Dola la Roma
- 1011 - Ichijo, mfalme mkuu wa Japani (986-1011)
- 1492 - Papa Innocent VIII
- 1564 - Kaisari Ferdinand I wa Ujerumani
- 1980 - Vladimir Vysotsky, msanii kutoka Urusi
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu ya mtakatifu Yakobo Mkubwa, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Kristofa wa Lisia, Kukufas, Valentina, Thea na Paulo, Olimpia wa Konstantinopoli, Magneriki, Beato na Banto, Glodesinda, Teodomiro wa Carmona n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 25 Julai kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |