Henry Pope
Jump to navigation
Jump to search
Uhusika wa Prison Break | |
---|---|
Henry Pope | |
Mwonekano wa kwanza: | Pilot |
Msimu: | 1,2 |
Imechezwa na: | Stacy Keach) |
Kazi yake: | Mkubwa wa gereza la Fox River |
Henry Pope ni jina la kutaja uhusika wa katika kipindi cha televisheni cha Kimarekani, maarufu kama Prison Break. Uhusika huu ulichezwa na Stacy Keach. Katika mfululizo huu, alicheza kama mkuu wa gereza la Fox River State Penitentiary. Aliamini ya kwamba kila mfungwa ana stahiki heshima, na ndiyomaana alianzuisha prison industry (PI) na vipindi vya elimu ambavyo vinamruhusu mfungwa kuweza kujipatia masomo wakiwa jela.
Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]
|