Nenda kwa yaliyomo

Theodore "T-Bag" Bagwell

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uhusika wa Prison Break

T-Bag
Theodore Bagwell
Mwonekano wa kwanza: [[(sehemu ya Prison Break)|]]
Msimu: 1,2,3,4,5
Imechezwa na: Robert Knepper
Michael Gohlke (Theodore Bagwell mdogo)
Pia anajulikana kama: T-Bag
Teddy
Dr. Marvin Gudat
Clyde May
Sam
Mr. Webster
Dr. Erik Stammel
Teodoro
Cole Pfeiffer
Familia: James Bagwell
(binamu yake wa pili)(Amefariki)
Mahusiano: Denise McEvoy (demu wake wa zamani)
Jason "Maytag" Buchanen (bwana wake, ameauawa wakati wa fujo za jela)

Theodore "T-Bag" Bagwell ni jina la kutaja uhusika wa mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani cha prison Break. Uhusika huu ulichezwa na Bw. Robert Knepper. Huyu ni mmoja kati ya wahusika wakubwa kabisa katika mfululizo huu. Baada ya kuwa kama nyota mgeni katika sehemu ya pili, lakini baadaye akaja kuwa mmoja kati wanachama wa kawaida.

Uhusika ulitambulishwa katika mfululizo huu ukiwa kama mfungwa mwenzi wa mhusika mkuu wa mchezo huu Bw. Michael Scofield (uhusika ambao umechezwa na Wentworth Miller), katika jela ya Fox River State Penitentiary.

Akiwa kama kiongozi wa kundi la Wakaburu, T-Bag ni mmoja kati ya watu wanane waliotoroka katika jela ya Fox River. Katika msimu wa pili, mhusika anaonaonekana kuugeuka mpango mzima uliopangwa hapo awali na kuamua kujitenga kutoka katika kundi.

Ukiwa mfululizo unaendelea, habari nyingi za awali za mhusika huyu zinaanza kuvuja. T-Bag alilelezewa na Televisheni ya Guide[1] na Maya Schechter akiwa kama "mhusika asiye na woga wa hata kuchuna ngozi ya mtu katika mfululizo huu" na ametajwa na Entertainment Weekly kuwa kama ni "Adui bora wa vipindi vya TV".[2]

  1. Schechter, M, "November 27, 2006: The Killing Box Archived 2007-11-18 at Archive.today". TV Guide. 28 Novemba 2006. Retrieved on 2 Machi 2007.
  2. "Criminal Minds Archived 18 Mei 2013 at the Wayback Machine.". Entertainment Weekly. Retrieved on 2 Machi 2007.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]

Lua error in package.lua at line 80: module 'Module:Navbar/configuration' not found.