David "Tweener" Apolskis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Uhusika wa Prison Break
Pb tweener.jpg
David Apolskis
Mwonekano wa kwanza: Tweener
Msimu: 1,2
Imechezwa na: Lane Garrison
Pia anajulikana kama: Tweener
Vanilla Ice Kid

David "Tweener" Apolskis ni jina la kutaja uhusika wa katika kipindi cha televisheni cha Kimarekani cha Prison Break. Uhusika ulichezwa na Lane Garrison. Tweener alianza kuonekana kama mmoja kati wahusika wakuu, ni baada ya kufikia sehemu ya tatu ya mfululozo huu katika msimu wa kwanza, ulijulikana kama "Tweener".

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]