Nenda kwa yaliyomo

Norman "Lechero" St. John

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lechero ni jina la kutaja uhusika wa mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama Prison Break. Uhusika huu ulichezwa na Robert Wisdom.
Uhusika wa Prison Break
Norman St. John
Mwonekano wa kwanza: Orientación
Msimu: 3
Imechezwa na: Robert Wisdom
Pia anajulikana kama: Lechero
Kazi yake: Mwuza Madawa ya Kulevya
Familia: Watoto wa kiume watatu, wa kike wawili, Augusto (mtoto wa dada yake)
Mahusiano: Mke

Lechero ni jina la kutaja uhusika wa mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama Prison Break. Uhusika huu ulichezwa na Robert Wisdom.

Uhusika huu ulianza kuwekwa katika orodha ya wahusika wa kawaida baada ya kufikia katika msimu wa tatu wa mfululizo. Huyu alikuwa bwana wa zamani wa madawa ya kulevya na pia alikuwa kiongozi wa jela ya Sona.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]