Donald Self

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uhusika wa Prison Break
Donald Self
Mwonekano wa kwanza: Scylla
Msimu: 4
Imechezwa na: Michael Rapaport
Kazi yake: Ofisa wa Usalama wa Nchi

Donald "Don" Self ni jina la kutaja uhusika wa katika kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama Prison Break. Uhusika huu ulichezwa na Michael Rapaport. Huyu ameanza kuonekana kuanzia kwenye msimu wa nne wa mfululizo, anajiwakilisha kama Ofisa wa Usalama wa Nchi ambaye amewapa kazi Lincoln Burrows na Michael Scofield kazi ya kuiangusha the company na kuitafuta "Scylla", kikadi cha funguo kilichojaa maelezo ya utajiri wa "The Company."

Ingawaje, baadaye aliwasaliti baada ya kuipata Sylla, na kuichukua bila ya kutimiza mpango waliongea hapo awali, badala yake akawapatia uhuru wanakikosi. Badala yake akaanza kutafuta mnunuzo wa kumwuzia Scylla hiyo. Ni dhahiri kuwa amefanya hivyo kwa maslahi binafsi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]