Nenda kwa yaliyomo

Paul Kellerman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uhusika wa Prison Break

Kachero Paul Kellerman
Paul Kellerman
Mwonekano wa kwanza: Pilot
Msimu: 1,2
Imechezwa na: Paul Adelstein
Pia anajulikana kama: Owen Kravecki
Roy Hawkings
Lance
Kazi yake: Meja wa zamani katika Jeshi la US
Kachero wa zamani wa Huduma ya Siri
Familia: Kristine Kellerman (dada yake)

Paul Kellerman ni jina la kutaja uhusika wa katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani cha Prison Break. Uhusika ulichezwa na Paul Adelstein. Uhusika huu ulitambulishwa katika sekta ya Huduma ya Siri ya kikachero (agent) katika mfululizo wa pilot, lakini mwigizaji huyu hakuingizwa katika wahusika hadi hapo ilipofikia kwenye sehemu ya tatu ya mfululizo huu. Uhusika huu ni maarufu kwa kuwa upo katika sehemu ya watu wenye roho mbaya (mmoja kati ya makachero wa The Company).

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]