Nenda kwa yaliyomo

Felicia Lang

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uhusika wa Prison Break
Felicia Lang
Mwonekano wa kwanza: Scan
Msimu: 2,3,4

Sehemu Alizocheza = 15

Imechezwa na: Barbara Eve Harris
Kazi yake: Kachero wa FBI

Agent Felicia Lang ni jina la kutaja uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani, maarufu kama Prison Break. Uhusika huu ulichezwa na Barbara Eve Harris. Lang alainza kuonekana katika msimu wa pili wa mfululizo, maarufu kama "Scan", akiwa kama mmoja kati ya makachero wa FBI aliokuwa akishirikiana karibu kabisa na Alexander Mahone kwa kuwaruisha wale Fox River Eight.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]