Lincoln "L. J." Burrows Jr.

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uhusika wa Prison Break

Lincoln Burrows Jr. (LJ)
Mwonekano wa kwanza: Pilot
Msimu: 1,2,3,4
Imechezwa na: Marshall Allman,
Nickolas Loquercico
(L. J. Mdogo)
Pia anajulikana kama: LJ
Kazi yake: Mwanafunzi
Familia: Aldo Burrows (babu yake),
Lincoln Burrows (baba),
Lisa Rix (mama)(amefariki),
Michael Scofield (baba mdogo)

Lincoln Burrows Jr. (LJ) ni jina la kutaja mhusika wa mufululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani cha Prison Break. Uhusika huu ulichezwa na Marshall Allman. LJ mdogo aliokuwa akionyeshwa katika historia ya awali ya maisha yake ilichezwa na Nickolas Loquercico.

Mwigizaji huyu Marshall Allman alikuwa ameorodheswha katika moja kati ya wahusika wakuu tangu mwanzoni mwa mfululizo hadi sehemu ya kumi na nne ya msimu wa pili. LJ Burrows ni mhusika mkuu wa mfulululizo huu, lakini pia ni mmoja kati ya walioshiriki kidogo katika mfululizo huu.

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Mama wa LJ na baba walitengana tangu yungali bwana mdogo. Baba yake, Lincoln Burrows (Dominic Purcell) alikuwa akimtembelea kila Jumapili baada ya kutengana, lakini kwa bahati mbaya akapigwa marufuku kumtembelea.

Inamuuma kwa kitendo cha baba yake kukaa mbali naye, L. J. alipinga kabisa kuwa Lincoln alikuwa baba yake. L. J. alilelewa na mama yake, Bi. Lisa Rix (Jessalyn Gilsig), L. J. alikuwa na umri wa kama miaka kumi na nne hivi na anaishi katika kitongoji kimoja cha mjini Chicago hadi pale Lincoln alipo poteza lufaa yake.[1] Wote wawili (Lincoln na Michael) walikuwa wamehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela, na hali hiyo ilimwathiri vibaya kabisa L. J.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Fox Broadcasting Company, L. J. Burrows Archived 21 Julai 2006 at the Wayback Machine..

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]