Lincoln Burrows
Uhusika wa Prison Break | |
---|---|
Lincoln Burrows | |
Mwonekano wa kwanza: | Pilot |
Msimu: | 1,2,3,4 |
Imechezwa na: | Dominic Purcell Max Kirsch (Lincoln Burrows mdogo) Hunter Jablonski (Lincoln Burrows mdogo) |
Pia anajulikana kama: | Link the Sink Archie Ryan |
Familia: | Aldo Burrows (Baba) (amefariki) Christina Rose Scofield (Mama) (amefariki) LJ Burrows (Mtoto wake) Michael Scofield (ndugu yake) |
Mahusiano: | Lisa Rix (demu wake wa zamani)(amefariki) Veronica Donovan (demu wake wa zamani) (amefariki) Sofia Lugo (demu wake) |
Lincoln Burrows ni jina la kutaja mhusika mkuu wa kipindi cha mfululizo wa televisheni maarufu kama Prison Break. Uhusika huu ulichezwa na Dominic Purcell. Njama kuu za mchezo huu wa Prison Break una mhusisha Lincoln Burrows' kwa kuhusika na mauaji ya kaka wa makamo wa rais na halafu baadaye ndugu wa Burrow (Michael Scofield) ana fanya mpango wa kumsaidia kumtorosha kaka yake jela dhidi ya adhabu ya kifo.
Ndugu wa Lincoln, Michael Scofield imechezwa na Wentworth Miller. Katika sehemu za mwanzo, Lincoln mdogo ilichezwa na Max Kirsch, wakati Michael ilichezwa na Hunter Jablonski.
Ikiwa kama sheria za uhusika mkuu, Lincoln amecheza katika kila sehemu maarufu za mfululizo mzima. Mahusiano ya wandugu hawa katika mfululizo huu ilikuwa ni kufanya upelelezi wa kina na hata kuthubutu kujitolea mhanga katika kila sehemu ya mchezo huu.
Katika mahojiano, mbunifu wa mfululizo huu Bw. Paul Scheuring alisema ya kwamba "ni vigumu mno" kushirikisha uhusika wa Lincoln na Michael.[1] Dominic Purcell alishiriki katika mfululizo huu siku tatu nyuma kabla ya matayarisho ya mfululizo kamili kuanza.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Australian Associated Press, "Prison Break success shocks creator", Sydney Morning Herald. 27 Januari 2006. Retrieved on 7 Aprili 2007.
- ↑ Mitovich, M. W., "Prison Break DVD News, Season 2 Preview!", TV Guide. 8 Agosti 2006. Retrieved on 7 Aprili 2007.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Lincoln Burrows' biography Archived 15 Aprili 2006 at the Wayback Machine. at Fox.com