Nenda kwa yaliyomo

John Abruzzi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uhusika wa Prison Break

John Abruzzi
Mwonekano wa kwanza: Pilot
Msimu: 1,2
Imechezwa na: Peter Stormare
Familia: ana mtoto wa kiume na wakike (majina yao hayajulikani)
Mahusiano: Sylvia Abruzzi (Mke wake)

John Abruzzi ni jina la kutaja uhusika wa katika kipindi cha televisheni cha Kimarekani cha Prison Break. Uhusika huu ulichezwa na Peter Stormare. Huyu ni mhusika mkuu katika mfululizo, lakini alitambulika akiwa kama mnyapara wa jela ya Fox River State Penitentiary. Huyu yupo sawa tu na Theodore Bagwell, ni adui kidogo wa wale wahusika wakuu wa mchezo huu, ingawa alionekana kukawisha maswali ya mwandada Veronica Donovan aliyokuwa akiyafanya juu ya upelelezi wake kwenye vipengele vya usoni.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]