Nenda kwa yaliyomo

Veronica Donovan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uhusika wa Prison Break

Veronica Donovan
Mwonekano wa kwanza: Pilot
Msimu: 1,2
Imechezwa na: Robin Tunney
Annie Yokom (Veronica mdogo)
Kazi yake: Mwanasheria
Mahusiano: Sebastian Balfour (mchumba wake wa zamani)
Lincoln Burrows (bwana wake wa zamani)
Michael Scofield (rafiki wa kifamilia)

Veronica Donovan ni jina la kutaja uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani cha Prison Break. Uhusika huu ulichezwa na Robin Tunney. Uhusika wa Veronica mdogo ulichezwa na Annie Yokom, ambamye ameonekana mara moja tu katika mfululizo mzima.

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Veronica Donovan alisha wahi kutembea na Lincoln Burrows (Dominic Purcell) na baadaye akaja kuwa rafiki wa karibu sana na Michael Scofield wakati wakiwa shule walikuwa chui na paka. Aliondosha mbali kabisa na jiji Chicago na kwenda kujinga na Chuo Kikuu cha Illinois cha mjini Urbana-Champaign ambamo alipokea hati ya B.A. ya sayasi ya siasa.

Baadaye aliokea tena digrii ya Uanasheria katika chuo cha mjini Waco, Texas, akarudi zake mjini Chicago na kuanza kufanya kazi kama mwansheria katika kampuni ya Bianchi and Guthrie. Mahusiana yao baina ya yeye na Lincoln hayakudumu kwa muda mrefu kisha baadaye wote wawili wakatengana, na kisha Lincoln akakutana na Bi. Lisa Rix na kuzaa mtoto mmoja waitwaye LJ. Katika upande mwingine, Veronica naye akaja kuwa mchumba wa Bw. Sebastian Balfour.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]