Sara Tancredi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uhusika wa Prison Break

Sara Tancredi
Sara Tancredi
Mwonekano wa kwanza: Pilot
Msimu: 1,2,3,4
Imechezwa na: Sarah Wayne Callies
Pia anajulikana kama: Stephanie Reed
Kazi yake: Daktari wa zamani wa jela
Familia: Frank Tancredi (Baba yake)(amefariki)
Mahusiano: Michael Scofield (Kipenzi cha roho)

Dr. Sara Wayne Tancredi ni jina la kutaja uhusika wa mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama Prison Break. Uhusika huu umechezwa na Sarah Wayne Callies. Sehemu yake ya kwanza katika mfululizo alicheza kama daktari wa jela ya Fox River. Na pia huyu ndiye mwandani wa mhusika mkuu wa mfululizo huu Bw. Michael Scofield.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]