Charles "Haywire" Patoshik

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Uhusika wa Prison Break
Pb haywire.jpg
Charles "Haywire" Patoshik
Mwonekano wa kwanza: [[(sehemu ya Prison Break)|]]
Msimu: 1,2
Imechezwa na:

Charles Patoshik ni jina la kutaja uhusika wa katika kipindi cha televisheni cha Kimarekani, maarufu kama Prison Break. Uhusika huu ulichezwa na Silas Weir Mitchell. Huyu naye alikuwa mfungwa wa Fox River State Penitentiary. Huyu alikuwa ana matatizo ya akili, na katika mfululizo huu alikuwa akiwekwa sana katika wodi ya watu vichaa. Pia alishawahi kuwa mfungwa mwenzi wa Michael Scofield baada ya kuhamishwa kwa Sucre.

Akiwa kwenye wodi ya watu vichaa ya Fox River, alipewa jina la utani la "Haywire".

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]