Nenda kwa yaliyomo

Gonave

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kisiwa cha Gonave

Gonave ni kisiwa cha bahari ya Karibi karibu na Haiti.

Kisiwa kina eneo la kilometa mraba 690 na wakazi 87,077.

Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Gonave kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.