Desecheo
Mandhari
Desecheo ni kisiwa cha bahari ya Karibi karibu na Puerto Rico. Ni mali ya Marekani.
Kina eneo la kilometa mraba 1,5 na hakina wakazi.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Desecheo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |