Daraja la Kimataifa la Rusumo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Daraja la Kimataifa la Rusumo
Kiingereza: Rusumo International Bridge
Yabeba Barabara kuu ya B3 (leni 2)
Yavuka Mto Kagera
Urefu mita 80
Upana mita 10.5
Ujenzi ulianza April 2012
Yatanguliwa na Daraja la Rusumo
Yafuatiwa na Daraja la Kyaka
Badala ya Daraja la Rusumo
Anwani ya kijiografia 2°22′55.58″S 30°46′59.44″E / 2.3821056°S 30.7831778°E / -2.3821056; 30.7831778
Daraja la Kimataifa la Rusumo is located in Tanzania
Daraja la Kimataifa la Rusumo
Mahali ya daraja nchini Tanzania

Daraja la Kimataifa la Rusumo ni daraja lililofunguliwa mwaka 2014 unaovuka Mto Kagera na kuunganisha nchi jirani za Rwanda na Tanzania.