Daraja la Kilombero
Mandhari
| Daraja la Kilombero English: Kiombero Bridge | |
|---|---|
Kivuko cha MV Kilombero | |
| Yabeba | Leni 2 |
| Yavuka | Mto Kilombero |
| Mahali | 5 km kusini mwa Ifakara |
| Mmiliki | Serikali ya Tanzania |
| Mhandisi | NIMETA Consult (T) Ltd & Howard Humphreys (Tanzania) Ltd |
| Urefu | mita 384 |
| Upana | mita 11.3 |
| Mjenzi | China Railway 15th Bureau Group Corporation |
| Ujenzi ulianza | Novemba 2012 |
| Ujenzi utakamilika | Oktoba 2014 (makadirio) |
| Gharama za ujenzi | TZS 53.7 billion |
| Badala ya | Kivuko cha MV Kilombero |
| Anwani ya kijiografia | 8°11′22.46″S 36°41′36.68″E / 8.1895722°S 36.6935222°E |
Mahali ya daraja nchini Tanzania | |
Daraja la Kilombero ni daraja chini ya ujenzi utakaovuka Mto Kilombero nchini Tanzania.
| Makala hii kuhusu daraja barani Afrika bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |