Daraja la Sibiti
Mandhari
Daraja la Sibiti English: Sibiti Bridge | |
---|---|
Yavuka | Mto Sibiti |
Mahali | Iramba, Tanzania |
Mmiliki | Serikali ya Tanzania |
Urefu | mita 82 |
Mjenzi | Hainan Int. Ltd (China) |
Ujenzi ulianza | Septemba 2012 |
Gharama za ujenzi | TZS 19.2 billion |
Anwani ya kijiografia | 4°23′9.2″S 34°28′3.05″E / 4.385889°S 34.4675139°E |
Daraja la Sibiti ni daraja chini ya ujenzi utakaovuka Mto Sibiti nchini Tanzania.
Makala hii kuhusu daraja barani Afrika bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |