Daraja la Kikwete

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Daraja la Kikwete
English: Kikwete Bridge
YabebaBarabara kuu ya B8 (leni 2)
YavukaMto Malagarasi
MahaliUvinza, Mkoa wa Kigoma
MmilikiSerikali ya Tanzania
Mbunifu wa mradiHanil Engineering and Construction Co. Ltd (Korea Kusini)
Urefumita 275
Ujenzi ulianzaDisemba 2010
Gharama za ujenziUS$ 56 milioni
Badala yaDaraja la Malagarasi
Anwani ya kijiografia5°6′24.30″S 30°22′57.34″E / 5.1067500°S 30.3825944°E / -5.1067500; 30.3825944
Daraja la Kikwete is located in Tanzania
Daraja la Kikwete
Mahali ya daraja nchini Tanzania

Daraja la Kikwete ni daraja la kuvuka Mto Malagarasi karibu na Uvinza kwenye Mkoa wa Kigoma nchini Tanzania lililofunguliwa rasmi na rais Jakaya Kikwete tarehe 16 Septemba 2015.

Daraja hilo lilijengwa na kampuni za Korea Kusini M/S Hanil Engineering and Construction Company Ltd ilhali asilimia 41 za gharama za ujenzi (jumla USD milioni 56) zililipwa na serikali ya Korea Kusini.

Daraja lina urefu wa mita 275. Shabaha ya kujengwa ilikuwa pamoja na kurahisisha usafiri wa kwenda Kigoma.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]


Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]