Uvinza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Kata ya Uvinza
Nchi Tanzania
Mkoa Kigoma
Wilaya Kigoma Vijijini
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 105,512

Uvinza ni jina la kata ya Wilaya ya Uvinza katika Mkoa wa Kigoma, Magharibi mwa Tanzania.

Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 35,231 waishio humo.[1]

Mji wa Uvinza ni maarufu kwa upatikanaji wa chumvi.

Ulijulikana kama Neu Gottorp wakati wa utawala wa Wajerumani walipokuwa wakijenga Reli ya kati toka Kigoma hadi Dar es Salaam, Mwaka 2007 ulichaguliwa kuwa chanzo cha tawi la reli itakayokwenda Bujumbura, Burundi.

Wilaya hiyo mpya ilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012 ikiwa na makao makuu Lugufu.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Kata za Wilaya ya Uvinza - Mkoa wa Kigoma - Tanzania

Basanza | Buhingu | Herembe | Igalula | Ilagala | Itebula | Kalya | Kandaga | Kazuramimba | Mganza | Mtegowanoti | Mwakizega | Nguruka | Sigunga | Sunuka | Uvinza