Daraja la Songwe
Mandhari
| Daraja la Songwe English: Songwe Bridge | |
|---|---|
| Yavuka | Mto Songwe |
| Urefu | mita 50 |
| Kilifunguliwa | 1980 |
| Anwani ya kijiografia | 9°35′22.52″S 33°46′34.67″E / 9.5895889°S 33.7762972°E |
Mahali ya daraja nchini Tanzania | |
Daraja la Songwe ni daraja la kimataifa linalovuka Mto Songwe na kuunganisha nchi jirani za Malawi na Tanzania.