Daraja jipya la Ruvu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Daraja jipya la Ruvu
English: New Ruvu Bridge
YabebaBarabara kuu ya A7 (leni 2)
YavukaMto Ruvu
MahaliMkoa wa Pwani
MmilikiSerikali ya Tanzania
Mbunifu wa mradiNORPLAN Tanzania
Urefumita 135
MjenziChico (China)
Gharama za ujenziTZS 44 bilioni
KilizinduliwaMei 2009
Badala yaDaraja la Ruvu
Anwani ya kijiografia6°41′26″S 38°41′40″E / 6.69056°S 38.69444°E / -6.69056; 38.69444
Daraja jipya la Ruvu is located in Tanzania
Daraja jipya la Ruvu

Daraja jipya la Ruvu ni daraja linalovuka Mto Ruvu karibu na Mlandizi nchini Tanzania. Ni daraja muhimu kwenye njia ya barabara kuu A7 kati ya Dar es Salaam na Morogoro.