Daraja la Mkapa
Mandhari
Daraja la Mkapa English: Mkapa Bridge | |
---|---|
Majina mengine | Daraja la Rufiji |
Yabeba | Barabara kuu ya B2 (leni 2) |
Yavuka | Mto Rufiji |
Mahali | Ikwiriri, Tanzania |
Mmiliki | Serikali ya Tanzania |
Mbunifu wa mradi | H. P. Gauff Ingenieure GmbH & Co (Ujerumani) |
Urefu | mita 970.5 |
Mjenzi | Impresa Ing. Fortunato Federici S.p.A. (Italia) |
Gharama za ujenzi | US$ 30 milioni |
Kilizinduliwa | 2 Agosti 2003 |
Anwani ya kijiografia | 8°0′46″S 38°58′10″E / 8.01278°S 38.96944°E |
Daraja la Mkapa ni daraja lenye urefu wa mita 970 linalovuka mto Rufiji nchini Tanzania. Liko katika Mkoa wa Pwani ya Ikwiriri na Nyamwage. Linapitiwa na barabara ya B2[1].
Daraja lilifunguliwa rasmi na rais Benjamin Mkapa kwenye tarehe 2 Agosti 2003 likachukua nafasi ya kivuko cha awali.
Marejeo
- ↑ Top longest bridges in Africa, tovuti ya CCE News ya tar. 2 Januari 2018
- Milledge, S.A.H. and Kaale, B.K. (2005). Bridging the Gap - Linking timber trade with infrastructure development in Southern Tanzania: Baseline data before completion of the Mkapa Bridge. TRAFFIC East/Southern Africa, Dar es Salaam, Tanzania. ISBN: 0-9584025-9-0, online hapa
Makala hii kuhusu daraja barani Afrika bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |