15 Desemba
Mandhari
(Elekezwa kutoka 15 Disemba)
Nov - Desemba - Jan | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 15 Desemba ni siku ya 349 ya mwaka (ya 350 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 16.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1972 - Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa linaanzisha mradi wa UNEP
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1852 - Antoine Henri Becquerel, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1903
- 1860 - Niels Ryberg Finsen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1903
- 1888 - Maxwell Anderson, mwandishi kutoka Marekani
- 1916 - Maurice Wilkins, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1962
- 1948 - Cassandra Harris, mwigizaji wa filamu kutoka Australia
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1958 - Wolfgang Pauli, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1945
- 1966 - Walt Disney, mwongozaji filamu na mwanakatuni kutoka Marekani
- 1989 - Philly Lutaaya, mwanamuziki kutoka Uganda
- 1992 - Sven Delblanc, mwandishi kutoka Uswidi
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Valeriano wa Avensano, Masimino wa Micy, Virginia Centurione Bracelli, Maria Msulubiwa Di Rosa n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 15 Desemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |