Nenda kwa yaliyomo

Antoine Henri Becquerel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Medali ya Tuzo Nobel
Medali ya Tuzo Nobel
Henri Becquerel

Antoine Henri Becquerel (15 Desemba 185225 Agosti 1908) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ufaransa.

Mwaka wa 1896 aligundua mionzi nururishi. Mwaka wa 1903, pamoja na Pierre Curie na Marie Curie alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Kizio cha upimaji wa unururifu kinaitwa Becquerel kwa heshima yake.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Antoine Henri Becquerel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.