Ualimu wa kanisa
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Ualimu wa Kanisa)
Kwa jina hilo Kanisa Katoliki linamaanisha mamlaka yake katika kufundisha imani na maadili ili kudumisha, kustawisha na kueneza karne hadi karne hazina ya imani iliyofunuliwa na Mungu hasa katika Yesu Kristo na kukabidhiwa kwa Mitume wake.
Ngazi za uzito wa ualimu [hariri]
Ualimu unaweza kuwa wa kawaida na usio wa kawaida.
Ule wa kawaida ndiyo namna ambayo Papa wa Roma na Maaskofu wenzake wanatoa mafundisho yao siku kwa siku kwa njia ya hotuba, barua na maandishi mengine.
Kumbe ule usio wa kawaida unatolewa kwa fahari ya pekee, kwa mfano katika Mtaguso mkuu au katika tamko rasmi la kudumu linalotolewa na Papa kwa niaba ya Maaskofu wote.
Marejeo [hariri]
- Boyle, John (1995). Church Teaching Authority: Historical and Theological Studies. University of Notre Dame Press. ISBN 0-268-00805-1.
- Gaillardetz, Richard (2003). By What Authority?: A Primer on Scripture, the Magisterium, and the Sense of the Faithful. ISBN 0-8146-2872-9.
- Gaillardetz, Richard (1997). Teaching With Authority: A Theology of the Magisterium in the Church, Theology and Life Series, vol. 41. Liturgical Press. ISBN 0-8146-5529-7.
- Gaillardetz, Richard (1992). Witnesses to the Faith: Community, Infallibility, and the Ordinary Magisterium of Bishops. Paulist Press. ISBN 0-8091-3350-4.
- Sullivan, Francis (2003). Creative Fidelity: Weighing and Interpreting Documents of the Magisterium. Wipf & Stock Publishers. ISBN 1-59244-208-0.
- Sullivan, Francis (1983). The Magisterium: Teaching Authority in the Catholic Church. Paulist Press. ISBN 0-8091-2577-3 (paper), ISBN 1-59244-060-6 (Wipf & Stock 2002 reprint).
- Gerard Mannion, Richard Gaillardetz, Jan Kerkhofs, Kenneth Wilson (eds.), Readings in Church Authority - Gifts and Challenges for Contemporary Catholicism, Ashgate Press, 2003; 572pp
Viungo vya nje [hariri]
- Truth in the Magisterium – Pope John Paul II
- Church-Tradition-Magisterium, by Brunero Gherardini
- The Canonical Safeguarding of the Word of God by Jaime B. Achacoso, J.C.D., Philippine Canonical Forum, Volume II, Januari–Desemba 2000.
- Tradition and Living Magisterium Article in the 1913 Catholic Encyclopedia