Liturujia ya Milano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Hii ni sehemu ya mfululizo kuhusu
Kanisa Katoliki
StPetersBasilicaEarlyMorning.jpg
Imani

Umoja wa Mungu
Utatu (Baba, Mwana, Roho Mtakatifu)
Umwilisho Maisha ya Yesu
Msalaba Ufufuko Kupaa
Historia ya Wokovu Ufunuo
Biblia Mapokeo Ualimu Dogma
Neema Dhambi Wokovu Sakramenti
Watakatifu Bikira Maria


Muundo

Papa: Benedikto XVI
Urika wa maaskofu Mitaguso mikuu
Kundi la Makardinali
Kanisa la Kilatini
Makanisa Katoliki ya Mashariki

Historia

Historia Ukristo
Ukatoliki Mlolongo wa Kitume
Sifa nne za Kanisa Utetezi Ekumeni
Maisha ya kiroho Amri Kumi Utawa
Sala Falsafa Teolojia
Muziki Sanaa Sayansi

Ibada

Liturujia Mwaka wa Kanisa
Ekaristi Liturujia ya Vipindi

Mapokeo ya liturujia

Liturujia ya Kilatini (Roma Milano Toledo Braga Lyon Canterbury)
Liturujia ya Armenia Liturujia ya Misri
Liturujia ya Ugiriki Liturujia ya Antiokia
Liturujia ya Mesopotamia

Ambrosi anavyoonekana katika nakshi ya karne ya 5 katika Basilika lake huko Milano.

Liturujia ya Milano ni liturujia maalumu ambayo inafuatwa katika sehemu kubwa ya jimbo la Milano (Italia) na katika parokia kadhaa za majimbo ya kandokando, hadi lile la Lugano (Uswisi).

Kama asili yake anatajwa babu wa Kanisa Ambrosi, aliyekuwa askofu wa jimbo hilo katika sehemu ya mwisho wa karne ya 4. Ndiyo sababu inaitwa Liturujia ya Ambrosi.

Ingawa Wakatoliki wa maeneo hayo wanafuata liturujia hiyo, upande wa sheria za Kanisa hawatofautiani na wenzao wa Kanisa la Kilatini.