Lyndon B. Johnson
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Lyndon Johnson)
Lyndon Baines Johnson (27 Agosti 1908 – 22 Januari 1973) alikuwa Rais wa 36 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1963 hadi 1969. Kaimu Rais wake alikuwa Hubert H. Humphrey (1965-69).
Tazamia pia [hariri]
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lyndon B. Johnson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |