Nenda kwa yaliyomo

William Henry Harrison

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka William H. Harrison)
William Henry Harrison


Muda wa Utawala
Machi 4, 1841 – Aprili 4, 1841
Makamu wa Rais John Tyler
mtangulizi Martin Van Buren
aliyemfuata John Tyler

tarehe ya kuzaliwa (1773-02-09)Februari 9, 1773
Charles City County, Virginia
tarehe ya kufa 4 Aprili 1841 (umri 68)
Washington, D.C., Marekani
mahali pa kuzikiwa William Henry Harrison Tomb State Memorial
chama Democratic-Republican (Kabla ya 1828)
Whig (1836–1841)
ndoa Anna Symmes (m. 1795) «start: (1795-11-22)»"Marriage: Anna Symmes to William Henry Harrison" Location: (linkback://sw.wikipedia.org/wiki/William_Henry_Harrison)
watoto 10
mhitimu wa Hampden–Sydney College
University of Pennsylvania
signature

William Henry Harrison (9 Februari 17734 Aprili 1841) alikuwa Rais wa tisa wa Marekani kwa mwezi mmoja tu wa mwaka wa 1841 hadi kifo chake. Alikuwa rais wa kwanza kufariki madarakani. Kaimu Rais wake alikuwa John Tyler aliyemfuata kama Rais. Mjukuu wake aliyeitwa Benjamin Harrison alikuwa Rais wa 23.

Tazamia pia

[hariri | hariri chanzo]

}}

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William Henry Harrison kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.