Wanyoro
Mandhari
Wanyoro (kwa Kinyoro au Runyoro: Banyoro (umoja: Munyoro)) ni kabila la mashariki mwa Uganda linaloongozwa na mfalme (omukama)[1], kwa sasa Solomon Iguru I, ambaye ni wa 27 kwa Bunyoro-Kitara.[2] Ufalme wa Bunyoro uliwahi kuwa na nguvu sana katika Afrika Mashariki na ya Kati kuanzia karne ya 13 hadi ile ya 19. It is ruled by the Omukama of Bunyoro.
Zamani uchumi ulitegemea uwindaji wa tembo, simba, chui na mamba. Siku hizi Wanyoro ni hasa wakulima wanaozalisha ndizi, mtama, mhogo, yam, pamba, tumbaku, kahawa na mpunga.
Wanakadiriwa kuwa 1,400,000. Wengi wao ni Wakristo.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Stokes, Jamie (2009). Encyclopedia of the Peoples of Africa and the Middle East, Volume 1. Infobase Publishing. ku. 506–509.
- ↑ Facts about the Kingdom, https://www.scribd.com/doc/35682709/2010-01-21-Bunyoro-Kitara-Kingdom-General-Information Archived 5 Novemba 2012 at the Wayback Machine.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- The National University of Bunyoro-Kitara Kingdom
- Bunyoro-Kitara Kingdom
- Bunyoro-Kitara Kingdom NGO.
- Royal Coat of Arms of Bunyoro-Kitara Archived 24 Januari 2020 at the Wayback Machine.
- More on the Bunyoro Culture
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wanyoro kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |