9 Septemba
Mandhari
(Elekezwa kutoka Septemba 9)
Ago - Septemba - Okt | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 9 Septemba ni siku ya 252 ya mwaka (ya 253 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 113.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 214 - Aurelian, Kaisari wa Dola la Roma
- 384 - Honorius, Kaisari wa Dola la Roma Magharibi (395-423)
- 1922 - Hans Georg Dehmelt, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1989
- 1923 - Carleton Gajdusek, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1976
- 1950 - Zubain Muhaji Mhita, mwanasiasa wa Tanzania
- 1966 - Adam Sandler, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1983 - Kristine Hermosa, mwigizaji filamu kutoka Ufilipino
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1901 - Henri de Toulouse-Lautrec, mchoraji wa Ufaransa
- 1943 - Charles McLean Andrews, mwanahistoria kutoka Marekani
- 1985 - Paul Flory, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1974
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Petro Claver, Gorgoni wa Roma, Yasinto wa Sabina, Kieran Kijana n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- BBC: On This Day
- On this day in Canada Archived 2012-12-09 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 9 Septemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |