Zubain Muhaji Mhita

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Zubain Muhaji Mhita (amezaliwa 9 Septemba 1950) ni mbunge wa jimbo la Kondoa Kaskazini katika bunge la kitaifa nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Mengi kuhusu Zubain Muhaji Mhita (10 Julai 2006). Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.