Nenda kwa yaliyomo

Salim Ahmed Salim

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Salim (2010)
Salim Ahmed Salim

Salim Ahmed Salim (amezaliwa 23 Januari 1942) ni mwanasiasa kutoka nchi ya Tanzania. Kuanzia tarehe 24 Aprili 1984 hadi tarehe 5 Novemba 1985 alikuwa Waziri Mkuu wa tano wa Tanzania. Alifuatwa na Joseph Sinde Warioba.

Heshima na Tuzo

[hariri | hariri chanzo]
Nishani Nchi Mwaka
Nishani ya Nyota ya Afrika Bendera ya Liberia Liberia 1980
Nishani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bendera ya Tanzania Tanzania 1985
Nishani ya Kitaifa cha Vilima Elfu Moja Bendera ya Rwanda Rwanda 1993
Nishani ya Kipendo (Msalaba tukufu) Bendera ya Jamhuri ya Kongo Jamhuri ya Kongo 1994
Nishani ya Sifa (Afisa tukufu) Bendera ya Jamhuri ya Afrika ya Kati Jamhuri ya Afrika ya Kati 1994
Medali ya Afrika Bendera ya Libya Libya 1999
Nishani ya Kitaifa cha Simba (Afisa tukufu) Bendera ya Senegal Senegal 2000
Nishani ya Mito Miwili cha Naili Bendera ya Sudan Sudan 2001
Nishani ya El-Athir Bendera ya Algeria Algeria 2001
Nishani ya Mono Bendera ya Togo Togo 2001
Nishani ya Kitaifa cha Mali (Kamanda) Bendera ya Mali Mali 2001
Nishani ya Masahaba wa O. R. Tambo (Dhahabu) Bendera ya Afrika Kusini Afrika Kusini 2004
Nishani ya Mwenge (Daraja la pili) Bendera ya Tanzania Tanzania 2011

Shahada za Heshima

[hariri | hariri chanzo]
Chuo Kikuu Nchi Shahada ya Uzamivu Mwaka Ref
Chuo Kikuu cha Philippines Los Baños Bendera ya Philippines Philippines Daktari wa Sheria 1980
Chuo Kikuu cha Maiduguri Bendera ya Nigeria Nigeria Doctor of Humanities 1983
Chuo Kikuu cha Mauritius Bendera ya Morisi Mauritius Daktari wa Sheria ya Kiraia 1991
Chuo Kikuu cha Khartoum Bendera ya Sudan Sudan Daktari wa Sanaa katika Masuala ya Kimataifa 1995
Chuo Kikuu cha Bologna Bendera ya Italia Italy Daktari wa Falsafa katika Uhusiano wa Kimataifa 1996 [1]
Chuo Kikuu cha Cape Town Bendera ya Afrika Kusini Afrika Kusini Daktari wa Sheria 1998 [2]
Chuo Kikuu cha Addis Ababa Bendera ya Ethiopia Ethiopia Daktari wa Sheria 2003 [3]
  1. "Lauree Honoris Causa : Salim Salim Ahmed". University of Bologna. 1996. Iliwekwa mnamo 27 Septemba 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "UCT Honours Roll". University of Cape Town. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-03-04. Iliwekwa mnamo 27 Septemba 2013. {{cite web}}: Italic or bold markup not allowed in: |publisher= (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Over 4,000 Graduate From Addis Ababa University". Addis Tribune via allafrica.com. 1 Agosti 2003. Iliwekwa mnamo 27 Septemba 2013. {{cite web}}: Italic or bold markup not allowed in: |publisher= (help)CS1 maint: date auto-translated (link)

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]


Ofisi za Kisiasa
Alitanguliwa na
Edward Moringe Sokoine
Waziri Mkuu wa Tanzania
1984-1985
Akafuatiwa na
Joseph Sinde Warioba
Alitanguliwa na
Ali Hassan Mwinyi
Makamu wa Rais wa Tanzania
1985-1990
Akafuatiwa na
John Samuel Malecela
Nafasi za Kidiplomasia
Alitanguliwa na
Indalecio Liévano
Rais wa Bunge Kuu la Umoja wa Mataifa
1979-1980
Akafuatiwa na
Rüdiger von Wechmar


Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Salim Ahmed Salim kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.