Rhode Island
Rhode Island Little Rhody |
|||
| |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Providence | ||
Eneo | |||
- Jumla | 4,002 km² | ||
- Kavu | 2,706 km² | ||
- Maji | 1,295 km² | ||
Tovuti: http://www.ri.gov/ |
Rhode Island ni jimbo la Marekani na jimbo dogo nchi nii. Jimbo uko la Atlantiki na upande wa mashariki ya nchi.
Mji mkuu na mji mkubwa ni Providence. Imepakana na Massachusetts na Connecticut. Jimbo lina wakazi wapatao 1,050,788 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 4,002.
Ilikuwa moja ya koloni 13 asilia za Uingereza zilizoasi dhidi ya nchi mama tangu mwaka 1776 na kuanzisha Maungano ya Madola ya Amerika.
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kiingereza) State of Rhode Island Official Website
Majimbo ya Marekani |
---|
Alabama • Alaska • Arizona • Arkansas • California • Colorado • Connecticut • Delaware • Florida • Georgia • Hawaii • Idaho • Illinois • Indiana • Iowa • Kansas • Kentucky • Louisiana • Maine • Maryland • Massachusetts • Michigan • Minnesota • Mississippi • Missouri • Montana • Nebraska • Nevada • New Hampshire • New Jersey • New Mexico • New York • North Carolina • North Dakota • Ohio • Oklahoma • Oregon • Pennsylvania • Rhode Island • South Carolina • South Dakota • Tennessee • Texas • Utah • Vermont • Virginia • Washington • West Virginia • Wisconsin • Wyoming |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Rhode Island kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |