Penitenciaría Federal de Sona
Mandhari
Penitenciaría Federal de Sona (kwa Kiswahili: Jela ya Shirikisho ya Sona) ni jela bandia iliyotungwa kwa ajili ya mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Prison Break. Jela hii ipo nchini Panama. Hapa ndipo mahala pakuu palipochezewa msimu mzima wa tatu wa mfululizo wa Prison Break.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |