Msamiati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Msamiati ni maneno magumu yanayotumika katika ufahamu au kifungu cha habari fulani.

Kwa kawaida msamiati huwa unafafanuliwa kwa kusoma kifungu cha habari hicho.

Vilevile msamiati tunaweza kusema ni maneno magumu ambayo mtu hayaelewi katika habari fulani. Mfano neno tabasamu ukimuuliza mtu maana ya neno hilo utapata majibu tofauti.

Ukimtaka mtu atunge sentensi kulingana na neno tajwa unaweza kupata sentensi za aina hii:

Hapa tunaona kuwa neno hili limeelezewa na kila mtu kwa jinsi alivyolizoea katika matumizi, hivyo kwa hapa maana halisi ya neno tutaipata kutokana na lilivyotumika katika sentensi husika.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Noun project 1822.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Msamiati kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.