Maana ya msamiati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Maana ya msamiati ni maneno magumu yanayotumika katika ufahamu au kifungu cha habari fulani. Kwa kawaida msamiati huwa unafafanuliwa kabla ya kusoma kifungu cha habari hicho. Vilevile msamiati tunaweza sema ni maneno magumu ambayo mtu hayaelewi katika habari fulani. Mfano neno tabasamu ukimuuliza mtu maana ya neno hilo utapata majibu tofauti.

Ukimtaka mtu atunge sentensi kulingana na neno tajwa unaweza kupata sentensi za aina hii 1: Mwalimu wetu anapenda kutabasamu. 2: Baba alinunua gazeti la Tabasamu. Hapa tunaona kuwa neno hili limeelezewa na kila mtu kwa jinsi alivyolizoea katika matumizi, hivyo kwa hapa maana halisi ya neno tutaipata kutokana na lilivyotumika katika sentensi husika. Kwa ufupi huo ndio uelewa wangu kuhusiana na maana ya MSAMIATI.Naomba msaada zaidi juu ya maana ya MSAMIATI.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maana ya msamiati kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.