Mkoa wa Nyanza
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mkoa wa Nyanza (Kenya))
| ||
Makao Makuu | Kisumu | |
Mji Mkubwa | Kisumu | |
Eneo - Jumla |
Nafasi ya 6 kati ya mikoa ya Kenya 12,507 km² | |
Wakazi - Jumla (2007) - Msongamano wa watu / km² |
Nafasi ya 3 kati ya mikoa ya Kenya 4,889,700 391/km² | |
Lugha mkoani | Kiluo Kigusii Kikuria | |
Nyanza ni mkoa wa magharibi ya Kenya kando la ziwa Viktoria Nyanza. Mji mkuu ni Kisumu. Mkoa umepakana na Tanzania, Uganda halafu mikoa ya Kenya ya Magharibi na Bonde la Ufa.
Nyanza ina wakazi zaidi ya milioni tano. Walio wengi ni Waluo, halafu Wakisii, Wakuria na Waluhya.
Wilaya
[hariri | hariri chanzo]Wilaya | Makao Makuu |
---|---|
Wilaya ya Bondo | Bondo |
Wilaya ya Gucha (Kisii Kusini) | Ogembo |
Wilaya ya Homa Bay | Homa Bay |
Wilaya ya Kisii (Kisii Kati) | Kisii |
Wilaya ya Kisumu | Kisumu |
Wilaya ya Kuria | Kehancha |
Wilaya ya Migori | Migori |
Wilaya ya Nyamira (Kisii Kaskazini) | Nyamira |
Wilaya ya Nyando | Awasi |
Wilaya ya Rachuonyo | Oyugis |
Wilaya ya Siaya | Siaya |
Wilaya ya Suba | Mbita |
Bonde la Ufa | Kaskazini-Mashariki | Kati | Magharibi | Mashariki | Nairobi | Nyanza | Pwani |