31 Mei
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mei 31)
Apr - Mei - Jun | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 31 Mei ni siku ya 151 ya mwaka (ya 152 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 214.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1857 - Papa Pius XI
- 1887 - Saint-John Perse, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1960
- 1930 - Clint Eastwood, mwigizaji, mwongozaji na mwandaaji wa filamu kutoka Marekani
- 1931 - Robert Schrieffer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1972
- 1941 - Louis Ignarro, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1998
- 1948 - Svetlana Alexievich, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 2015
- 1955 - Susie Essman, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1524 - Mtakatifu Batista Varano, bikira Mfransisko wa Italia
- 1787 - Mtakatifu Felix wa Nicosia, mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo Wakapuchini kutoka Sicilia
- 1809 - Joseph Haydn, mtunzi wa muziki kutoka Austria
- 1886 - Mtakatifu Noe Mawaggali, mfiadini wa Uganda
- 1967 - Billy Strayhorn, mwanamuziki wa Marekani
- 1976 - Jacques Monod, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1965
- 1986 - James Rainwater, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1975
- 2006 - Raymond Davis, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 2002
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu ya ziara ya Bikira Maria, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Petronila wa Roma, Ermia wa Gumenek, Kansyo na wenzake, Silivi wa Toulouse, Batista Varano, Feliche wa Nicosia, Noe Mawaggali n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 31 Mei kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |