Mbangi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mbangi
(Cannabis spp.)
Mbangi
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Rosales (Mimea kama mwaridi)
Familia: Cannabaceae (Mimea iliyo mnasaba na mbangi)
Jenasi: Cannabis
L.
Spishi: C. indica Lam.

C. ruderalis Janisch.
C. sativa L.

Mbangi (spishi za jenasi Cannabis) ni mmea aina ya vichaka utumikao ili kutengeneza nyuzi au madawa ya kulevya (bangi), n.k.

Spishi[hariri | hariri chanzo]

Matumizi ya Mbangi[hariri | hariri chanzo]

Mmea wa bangi una matumizi mengi ya matibabu, ujenzi, kutengenezea dizeli oganiki na pia hufumwa nyuzi zinazotumika katika ushonaji. Utafiti kuhusu mbangi unaendelea kufumbua matumizi mengine zaidi. Shida yake kubwa ni kusababisha uraibu.[1][2][3][4]

Kinaganaga:

 • Majani ya mmea wa kike wa Mbangi hutumika kutengeneza bangi. Bangi hutumika katika dawa ya kulevya kwa sababu inasababisha namna ya ulevi.
 • Mbangi ni mmea wa nyuzinyuzi ambazo hufumwa nyuzi zinazotumika katika ushonaji wa vitu tofautitofauti.
 • Mbangi, hasa spishi ya Cannabis sativa, hupasuliwa mbao, fito na vikingi za ujenzi.
 • Kiafya mbegu za Mbangi, hasa Hemp iliyo katika spishi ya Mbangi-mwitu, hutumika kama chakula [5]

. Mbegu hizi zina proteini, madini, vitamini E na hata mafuta ya Omega-3 na Omega-6 yenye manufaa makubwa kwa mwili. Mbegu za Mbangi aina ya Hemp ni halali kwa matumizi ya chakula katika nchi nyingi ikiwemo Uingereza.[6]

Picha[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

 1. Reynolds, Peter (Februali 27, 2017). "Medicinal Cannabis: The Evidence" (in en-US). CLEAR Cannabis Law Reform. https://www.bmj.com/sites/default/files/response_attachments/2015/03/Medicinal%20Cannabis%20The%20Evidence%20V1.pdf. Retrieved Agosti 6, 2018.
 2. International Association for Cannabinoid Medicine. Clinical Studies and Case Reports (en-US). Cannabinoid Medicine - International Association for Cannabinoid Medicine Website. Iliwekwa mnamo 2018-08-06.
 3. ProCon.org. 60 Peer-Reviewed Studies on Medical Marijuana - Medical Marijuana - ProCon.org (en-US). ProCon.org Website. Iliwekwa mnamo 2018-08-06.
 4. Armentano, Paul; Carter, Greg; Sulak, Dustin; Goldstein, Estelle Toby (2018). "Emerging Clinical Application for Cannabis and Cannabinoids A Review of the Recent Scientific Literature" (in en-US). Working to Reform Marijuana Laws (The National Organization for the Reform of Marijuana Laws). http://norml.org/pdf_files/NORML_Clinical_Applications_for_Cannabis_and_Cannabinoids.pdf. Retrieved 2018-08-06.
 5. Are the Unique Phytocannabinoids Found in Cannabis Actually Essential Nutrients?.
 6. 6.0 6.1 "Everything To Know About Hemp - My Marijuana Blog", My Marijuana Blog. (en-US) 
 7. CBD Oil Manufacturer (2016-03-11). Hemp’s Essential Fats Reduces PMS Symptoms (en-US). cbdmanufacturer.com. Iliwekwa mnamo 2018-11-08.
 8. OpinionFront Staff. "Different Types of Weed and Their Effects", OpinionFront, 2018-03-17. (en-US) 
 9. Donna (2018-05-20). 10 Best CBD Oils for Anxiety & Depression [2018 Review] (en-US). CBD for Sure. Iliwekwa mnamo 2018-10-15.
 10. COOLFUEL Episode: Sugarcane and Hempoline. Iliwekwa mnamo 2009-10-16.
 11. Clean Energy Solutions. Hemp 4 Fuel. Iliwekwa mnamo 2018-06-26.
 12. Pollution: Petrol vs. Hemp. Hempcar. Jalada kutoka ya awali juu ya 2006-07-20. Iliwekwa mnamo 2018-06-27.
 13. Biofuels Facts. Hempcar.org. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-05-20. Iliwekwa mnamo 2018-06-27.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Greentree.jpg Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mbangi kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.