Majadiliano:Mbangi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kuhusu majina ya magonjwa ni vema tukifuatilia Kamusi ya Tiba iliyotolewa na TUKI.Kipala (majadiliano) 20:27, 12 Julai 2018 (UTC)

Naomba tuzingatie pia (au zaidi) Kamusi Kuu ya Kiswahili ambayo imeidhinishwa na BAKITA na taasisi kama hiyo ya Kenya. Kwa mfano: kolestero. Amani kwa wote! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 12:58, 13 Julai 2018 (UTC)