Majadiliano ya mtumiaji:Kipala/viungo vya mwili

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Parts of the Body / Sehemu za Mwili]] (Viungo vya Mwili)

http://fas-digiclass.rutgers.edu/global/skeleton.jsp?page=/Swahili/SEHEMU_ZA_MWILI.html&dept=Swahili

abdomen fumbatio (5/6; 9/10)

Adam's apple kikoromeo (7/8)

ankle kiwiko cha mguu (7/8)

anus mkundu (3/4)

appendix kidoletumbo (7/8)

back mgongo (3/4)

bald spot on the head kipara (7/8)

“beer gut” [i.e., a distended stomach] kitambi (7/8)

bladder kibofu cha mkojo (7/8)

blood damu (9/10); ngeu]] (9/10)

fresh blood damu mbichi (9/10)

young blood damu mchanga (9/10)

blood vessel mshipa wa damu (3/4)

body mwili (3/4)

bone mfupa (3/4)

chest kifua (7/8); kidari]] (7/8)

chin kidevu (7/8)

circulatory system mfumo wa mzunguko wa damu (3/4)

collar bone mtulinga (3/4)

digestive system mfumo wa msago (3/4)

ear sikio (5/6)

ear lobe ndewe (ya sikio) (9/10)

elbow kiko cha mkono (7/8); kisugudi (7/8)

excrement choo (7/8); kinyesi (7/8); mavi [[-6

eye jicho (5/6)

eyelid kifuniko cha jicho (7/8)

femur fupa la paja (5/6)

finger kidole (7/8); chanda]] (7/8)

fist ngumi (9/10)

five senses, the milango ya fahamu [[-4

forearm kigasha cha mkono (7/8)

forehead paji (5/6)

wrinkle in the forehead kipaji (7/8)

foreskin [i.e., on penis] govi

freckles madoa ya kizungu -6

hair nywele (10) [umoja: unywele = one single blade of hair]

nappy, kinky hair [[nywele za kipilipili [[-10

head kichwa (7/8)

heart moyo (3/4)

heel kisigino cha mguu (7/8)

hymen kizinda (7/8)

kidney figo (5/6)

knee goti (5/6)

lip mdomo (3/4)

lower lip mdomo wa chini (3/4)

upper lip mdomo wa juu (3/4)

liver ini (5/6)

lung pafu (5/6)

menses hedhi (9/10)

mouth kinywa (7/8); mdomo (3/4)

navel kitovu (7/8)

neck shingo (9/10)

back/nape of the neck kisogo (7/8)

nervous system mfumo mkuu wa neva za fahamu (3/4)

nipple chuchu (9/10)

nostril tundu ya pua (9/10)

pancreas kongosho (9/10)

penis mboo (9/10); uume (11) [ya mitaani: “mzee;” “bwana mkubwa;” “jamaa”]

pelvis fupanyonga (5/6)

period [i.e., menses] hedhi (9/10)

she’s on her period [[yuko mwezini; ameingia miezini; amepata siku zake; ana masiku; yuko damuni [ya mitaani: “kiwanja kina tope;” “bendera imepanda;” “ndege imetua”]

pore kinyeleo (7/8)

private parts sehemu za siri [[-10

pubic hair mavuzi (6) [uvuzi]] [[one single pubic hair]

pupil mboni ya jicho (9/10)

respiratory system mfumo wa kupumua (3/4)

shoulder bega (5/6)

skin ngozi (9/10)

sperm shahawa (9/10); manii]] (9/10); maji ya uzazi [[-6

stretch mark [i.e., a mark on a woman’s stomach or waist, often the result of child birth] mkongwe shari (3/4)]] (“mikongwe shari”)

testicle]] (s) kende (5/6); pumbu]] (5/6) [[[mayai; maandazi]] (simo/slang)

thumb kidole gumba cha mkono] (7/8)

toe kidole cha mguu] (7/8)

big toe kidole gumba cha mguu] (7/8)

tooth jino (5/6)

trunk kiwiliwili (7/8)

uterus mfuko wa uzazi (3/4); fuko la uzazi]] (5/6)

vagina sehemu za kike (10); sehemu za kike za mbele]] (10); sehemu nyeti za kike]] (10); kuma]] (9/10); uchi]] (11) [the last two terms are not appropriate for use in polite company]

voice box kikasha cha sauti (7/8)

womb fuko la uzazi (5/6); mfuko wa uzazi]] (3/4)

wrist kiwiko cha mkono (7/8)