Nenda kwa yaliyomo

Govi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Govi

Govi ni ngozi inayofunika ncha ya mboo.

Upasuaji unaofanyika ili kuiondoa unaitwa tohara (yaani "uangavu" au "usafi") na unaweza kuwa na sababu mbalimbali, kuanzia za afya hadi za dini.

Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Govi kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.