Nenda kwa yaliyomo

Kidevu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kidevu cha mwanamume.

Kidevu ni sehemu ya chini ya uso. Ni chini ya kinywa na ni sehemu ya mbele ya taya. Kwa wanaume kinaota ndevu.

Uwepo wa kidevu kilichokua vizuri huchukuliwa kuwa moja ya sifa za kimofolojia za Homo sapiens zinazowatofautisha na zamadamu.

Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidevu kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.