Kisogo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisogo ni upande wa nyuma wa kichwa.

Duniani kutokana na asilia ya watu tofautitofauti kuna aina nyingi za visogo.

Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisogo kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.