Baraza la mawaziri Tanzania 2015 : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
majina ya mwisho
Mstari 5: Mstari 5:
Mikutano ya baraza inaongozwa na Rais kama [[mwenyekiti]], kama hayupo na Makamu wa Rais, na kama wote wawili hawapo na Waziri Mkuu.<ref>[http://www.judiciary.go.tz/downloads/constitution.pdf Katiba ya Tanzania, fungu 54]</ref>
Mikutano ya baraza inaongozwa na Rais kama [[mwenyekiti]], kama hayupo na Makamu wa Rais, na kama wote wawili hawapo na Waziri Mkuu.<ref>[http://www.judiciary.go.tz/downloads/constitution.pdf Katiba ya Tanzania, fungu 54]</ref>


Serikali iliyopo ilitangazwa na [[John Magufuli]], rais wa tano wa Tanzania baada ya [[uchaguzi mkuu wa tarehe 25 Oktoba 2015|uchaguzi mkuu wa Oktoba 2015]] mnamo tarehe [[10 Desemba]] [[2015]].
Serikali iliyopo ilitangazwa na [[John Magufuli]], rais wa tano wa Tanzania baada ya [[uchaguzi mkuu wa tarehe 25 Oktoba 2015|uchaguzi mkuu wa Oktoba 2015]] mnamo tarehe [[10 Desemba]] [[2015]]. Isipokuwa nafasi 4 zilichelewa kutajwa majina tarehe 23 Desemba, na hapo waliingia Jumanne Maghembe, Philip Mpango, Gerson Lwenge na Joyce Ndalichako. Siku hiyohiyo Makame Mbarawa alihamishwa kutoka Wizara ya Maji na Umwagiliaji na kwenda Wizara ya Ujenzi, uchukuzi na Mawasiliano.


{| class=wikitable
{| class=wikitable
Mstari 76: Mstari 76:
| [[Wizara ya Elimu, Teknolojia na Ufundi Tanzania|Wizara ya Elimu, Teknolojia na Ufundi ]]
| [[Wizara ya Elimu, Teknolojia na Ufundi Tanzania|Wizara ya Elimu, Teknolojia na Ufundi ]]
| style="background:#228B22" |
| style="background:#228B22" |
| Dr. [[Joyce Ndalichako]]
| align=center|<small>(hajateuliwa bado 11 Disemba 2015)</small>
|-
|-
| [[File:Prof muhongo pic.jpg|75px]]
| [[File:Prof muhongo pic.jpg|75px]]
Mstari 86: Mstari 86:
| [[Wizara ya Fedha Tanzania|Wizara ya Fedha na Mipango]]
| [[Wizara ya Fedha Tanzania|Wizara ya Fedha na Mipango]]
| style="background:#228B22" |
| style="background:#228B22" |
| Dr. [[Philip Mpango]]
| align=center|<small>(hajateuliwa bado 11 Disemba 2015)</small>
|-
|-
| [[File:Augustine Mahiga (cropped).jpg|75px]]
| [[File:Augustine Mahiga (cropped).jpg|75px]]
Mstari 121: Mstari 121:
| [[Wizara ya Maliasili na Utalii Tanzania|Wizara ya Maliasili na Utalii]]
| [[Wizara ya Maliasili na Utalii Tanzania|Wizara ya Maliasili na Utalii]]
| style="background:#228B22" |
| style="background:#228B22" |
| [[Jumanne Maghembe]]
| align=center|<small>(hajateuliwa bado 11 Disemba 2015)</small>
|-
|-
| [[File:Makame Mbarawa IAEA.png|75px]]
| [[File:Makame Mbarawa IAEA.png|75px]]
| [[Wizara ya Maji na Umwagiliaji Tanzania|Wizara ya Maji na Umwagiliaji]]
| [[Wizara ya Maji na Umwagiliaji Tanzania|Wizara ya Maji na Umwagiliaji]]
| style="background:#228B22" |
| style="background:#228B22" |
| [[Makame Mbarawa]]
| [[Gerson Lwenge]]
|-
|-
| [[File:No image.svg|75px]]
| [[File:No image.svg|75px]]
| [[Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Tanzania)|Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano]]
| [[Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Tanzania)|Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano]]
| style="background:#228B22" |
| style="background:#228B22" |
| align=center|<small>(hajateuliwa bado 11 Disemba 2015)</small>
| [[Makame Mbarawa]] <small>(alihamishwa kuoka kutoka Wizara ya Maji na Umwagiliaji tar. 23.Desemba 2015)</small>
|-
|-
| style="background:#cccccc;" colspan="5" | '''(anahudhuria mikutano ya baraza la mawaziri bila kupiga kura'''
| style="background:#cccccc;" colspan="5" | '''(anahudhuria mikutano ya baraza la mawaziri bila kupiga kura'''

Pitio la 19:09, 23 Desemba 2015

Baraza la Mawaziri la Tanzania ni ngazi ya juu ya serikali au mkono wa utendaji wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mfumo wa mgawanyo wa madaraka.

Baraza hili linafanywa na rais, makamu wa rais, rais wa Zanzibar, waziri mkuu na mawaziri wote. [1] Manaibu mawaziri si sehemu ya baraza. Mwanasheria Mkuu anashiriki katika mikutano ya baraza bila haki ya kupiga kura.

Mikutano ya baraza inaongozwa na Rais kama mwenyekiti, kama hayupo na Makamu wa Rais, na kama wote wawili hawapo na Waziri Mkuu.[2]

Serikali iliyopo ilitangazwa na John Magufuli, rais wa tano wa Tanzania baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2015 mnamo tarehe 10 Desemba 2015. Isipokuwa nafasi 4 zilichelewa kutajwa majina tarehe 23 Desemba, na hapo waliingia Jumanne Maghembe, Philip Mpango, Gerson Lwenge na Joyce Ndalichako. Siku hiyohiyo Makame Mbarawa alihamishwa kutoka Wizara ya Maji na Umwagiliaji na kwenda Wizara ya Ujenzi, uchukuzi na Mawasiliano.

Chama anakotoka Chama Cha Mapinduzi
Baraza la mawaziri la Tanzania: tangu Novemba 2015[3][4][5]
Picha Majukumu Jina
Raisi
Amiri jeshi mkuu
Dr. John Magufuli
Makamu wa Rais Samia Suluhu
Rais wa Zanzibar Ali Mohamed Shein
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
Waziri wa Ofisi ya Raisi
TAMISEMI, Utumishi na Utawala Bora
George Simbachawene
Waziri wa Ofisi ya Raisi
TAMISEMI, Utumishi na Utawala Bora
Angellah Kairuki
Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais
Masuala ya Muungano, Mazingira
January Makamba
Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu
Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu
Jenista Mhagama
Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mwigulu Nchemba
Wizara ya Katiba na Sheria Dr. Harrison Mwakyembe
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Hussein Mwinyi
Wizara ya Elimu, Teknolojia na Ufundi Dr. Joyce Ndalichako
Faili:Prof muhongo pic.jpg Wizara ya Nishati na Madini Sospeter Muhongo
Wizara ya Fedha na Mipango Dr. Philip Mpango
Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa Augustine Mahiga
Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu
Wizara ya Mambo ya Ndani Charles Kitwanga
Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage
Wizara wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo Nape Nnauye
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi
Wizara ya Maliasili na Utalii Jumanne Maghembe
Wizara ya Maji na Umwagiliaji Gerson Lwenge
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Makame Mbarawa (alihamishwa kuoka kutoka Wizara ya Maji na Umwagiliaji tar. 23.Desemba 2015)
(anahudhuria mikutano ya baraza la mawaziri bila kupiga kura
Mwanasheria Mkuu wa Tanzania George Masaju

Marejeo

  1. "Cabinet of Tanzania". tanzania.go.tz. May 2012. Iliwekwa mnamo May 2012.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. Katiba ya Tanzania, fungu 54
  3. "Baraza la Mawaziri". Ikulu. 10 December 2015. Iliwekwa mnamo 11 December 2015.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  4. "Magufuli releases long awaited cabinet", 10 December 2015. 
  5. Chama Cha Mapinduzi [@ccm_tanzania] (10 December 2015). "Rais Magufuli atangaza Baraza la Mawaziri" (Tweet) (kwa Swahili). Iliwekwa mnamo 10 December 2015 – kutoka Twitter.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)

Tazama pia

Wizara za Serikali ya Tanzania