Julius Caesar : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Gaius Julius Caesar''' (''tamka gayus yulius kaesar''<ref>Kwa matamshi ya Kilatini sanifu cha Kale herufi "C" ilikuwa na matamshi ya "K"; katika matamshi ya karne za baadaye ilikuwa zaidi "S" kwa hiyo "Sesar"; kutoka hapa inakuja matamshi ya Kiingereza "Sizar"</ref> - [[100 KK|100]] - [[44 KK]]) alikuwa kiongozi Mroma wa kisiasa na wa kijeshi.
'''Gaius Julius Caesar''' (tamka ''gayus yulius kaesar''<ref>Kwa matamshi ya Kilatini sanifu cha Kale herufi "C" ilikuwa na matamshi ya "K"; katika matamshi ya karne za baadaye ilikuwa zaidi "Ch" kwa hiyo "Chesar"; kutoka hapo yametokea matamshi ya Kiingereza "Sizar"</ref> - [[100 KK|100]] - [[44 KK]]) alikuwa kiongozi wa ki[[siasa]] na wa ki[[jeshi]] wa [[Roma ya Kale]].
Amekumbukwa hasa kwa mafanikio mbalimbali yanayoonekana hadi leo.
Anakumbukwa hasa kwa mafanikio mbalimbali yanayoonekana kuathiri [[dunia]] hadi leo.


Kati ya mafanikio haya ni:
Baadhi ya mafanikio hayo ni:


* Kama kiongozi wa kijeshi aliteka [[Gallia]] (leo: [[Ufaransa]]) na kuifanya jimbo la Kiroma. Kutokana na hiyo lugha ya [[Kifaransa]] ni karibu sana na [[Kilatini]] lugha ya [[Roma]] ya Kale.
* Kama kiongozi wa kijeshi aliteka [[Gallia]] (leo: [[Ufaransa]]) na kuifanya jimbo la Kiroma. Kutokana na hiyo [[lugha]] ya [[Kifaransa]] ni karibu sana na [[Kilatini]], lugha ya [[Roma]] ya Kale.


* Waroma wa Kale walimheshimu kushinda viongozi wote waliomfuata au kutangulia akatangaziwa kuwa mungu na jina lake lilikuwa neno kwa ajili ya cheo cha watawala wa Kiroma walionfuata. Kutoka na badiliko hili la jina "Caesar" kuwa cheo lugha mbalimbali walipokea cheo hiki kama vile Kijerumani ("Kaiser"), Kirusi ("Tsar") na Kiswahili ("[[Kaisari]]" - kutokana na neno la Kijerumani).
* Waroma wa Kale walimheshimu kushinda viongozi wote waliomfuata au kutangulia akatangazwa kuwa [[mungu]]. [[Jina]] lake lilipata kuwa neno kwa ajili ya [[cheo]] cha watawala wa Kiroma waliomfuata. Kutokana na badiliko hilo la jina "Caesar" kuwa cheo, lugha mbalimbali zilipokea cheo hicho kama vile [[Kijerumani]] ("Kaiser"), [[Kirusi]] ("Tsar") na [[Kiswahili]] ("[[Kaisari]]" - kutokana na neno la Kijerumani).


* Aliunda kalenda ambayo imekuwa msingi wa kalenda ya kimataifa leo ([[Kalenda ya Juliasi]]).
* Aliunda [[kalenda]] ambayo imekuwa msingi wa kalenda ya kimataifa leo ([[Kalenda ya Juliasi]]). Kwa [[heshima]] yake, mwezi wa saba unaitwa [[Julai]].


* Katika historia ya Roma alifunga kipindi cha [[Jamhuri]] - kilichofuata ni [[Dola la Roma]] aliloiwekea misingi
* Katika [[historia]] ya Roma alifunga kipindi cha [[Jamhuri]] - kilichofuata ni [[Dola la Roma]] aliloliwekea misingi.


== Kupanda ngazi ==
== Kupanda ngazi ==
Alizaliwa katika familia ya makabaila wenye nafasi katika Senatus ilivyoitwa bunge la Roma. Aliingia katika siasa akachaguliwa kwa vyeo mbalimbali kwa vipindi vya kawaida wa miezi kadhaa hadi mwaka moja.
Alizaliwa katika [[familia]] ya ma[[kabaila]] wenye nafasi katika [[Senatus]] ilivyoitwa [[bunge]] la Roma. Aliingia katika siasa, akachaguliwa kwa vyeo mbalimbali kwa vipindi vya kawaida wa miezi kadhaa hadi [[mwaka]] moja.


Cheo chake muhimi cha kwanza kilikuwa mkuu wa koloni ya Kiroma ya [[Hispania]]. Alifaulu kushinda ghasia ya Wahispania wenyeji waliojaribu kuwafukuza Waroma kutoka nchi yao. Caesar aliporudi Roma alitajirika na kujipatia sifa kama kiongozi wa kijeshi pia mwanasiasa aliyeokoa koloni muhimi ya Hispania.
Cheo chake muhimu cha kwanza kilikuwa mkuu wa [[koloni]] la Kiroma la [[Hispania]]. Alifaulu kushinda [[ghasia]] ya Wahispania wenyeji waliojaribu kuwafukuza Waroma kutoka nchini mwao. Caesar aliporudi Roma alitajirika na kujipatia sifa kama kiongozi wa kijeshi pia mwanasiasa aliyeokoa koloni muhimu la Hispania.


Baadaye Caesar alijiunga na wanasiasa wawili wengine Gnaeus [[Pompeius]] Magnus aliyekuwa mkuu wa wanajeshi na Marcus Licinius [[Crassus]] aliyekuwa mtajiri kushinda Waroma wote. Wote watatu waliunda umoja ulioitwa "triumviratus" yaani umoja wa wanaume watatu wakashika mamlaka katika dola. Caesar alichaguliwa kwa cheo kikuu yaani [[Konsul]] kwa mwaka 59 KK. Baada ya mwisho wa kipindi chake alijipatia cheo cha Prokonsul au gavana wa eneo la Gallia ya Kiroma (Italia ya Kaskazini na eneo ndogo ya Ufaransa ya Kusini).
Baadaye Caesar alijiunga na wanasiasa wawili wengine: Gnaeus [[Pompeius]] Magnus aliyekuwa mkuu wa [[wanajeshi]] na Marcus Licinius [[Crassus]] aliyekuwa [[tajiri]] kushinda Waroma wote. Wote watatu waliunda umoja ulioitwa "triumviratus", yaani umoja wa [[wanaume]] watatu, wakashika [[mamlaka]] katika [[dola]]. Caesar alichaguliwa kwa cheo kikuu yaani [[Konsul]] kwa mwaka [[59 KK]]. Baada ya mwisho wa kipindi chake alijipatia cheo cha [[Prokonsul]] au [[gavana]] wa eneo la Gallia ya Kiroma ([[Italia ya Kaskazini]] na eneo dogo la [[Ufaransa ya Kusini]]).


== Vita ya Gallia ==
== Vita ya Gallia ==
Alitumia nafasi hii kuanzisha vita dhidi ya makabila ya Gallia huru yaani eneo lote la Ufaransa, [[Uswisi]] na [[Ubelgiji]] ya leo. Katika miaka nane ya 58 - 51 KK alitwaa Gallia yote. Aliingia pia ndani ya [[Germania]] (Ujerumani) na kuvuka bahari aliposhambulia kusini ya [[Britannia]]. Aliandika kitabu cha "De bello gallico" (Vita ya Gallia) akieleza mapigano yake. Kitabu hiki ina habari muhimu za kihistoria juu ya utamaduni wa makabila ya Gallia, Germania na Britannia aliyopigania nayo.
Alitumia nafasi hii kuanzisha [[vita]] dhidi ya ma[[kabila]] ya Gallia huru yaani eneo lote la Ufaransa, [[Uswisi]] na [[Ubelgiji]] ya leo. Katika miaka minane ya [[58 KK|58]] - [[51 KK]] alitwaa Gallia yote. Aliingia pia ndani ya [[Germania]] (Ujerumani) na kuvuka [[bahari]] aliposhambulia upande wa kusini wa [[Britannia]]. Aliandika [[kitabu]] cha "De bello gallico" (yaani Vita ya Gallia) akieleza mapigano yake. Kitabu hicho kina [[habari]] muhimu za kihistoria juu ya [[utamaduni]] wa makabila ya Gallia, Germania na Britannia aliyopigana nayo.


== Vita vya wenyewe kwa wenyewe ==
== Vita vya wenyewe kwa wenyewe ==
Baada ya kufanikiwa Gallia na kujenga jeshi kubwa tena hodari wanasiasa wengine huko Roma walimwogopa walijaribu kumzuia asirudi Italia. Mwenzake Crassus alikuwa amekufa tayari vitani katika mashariki ya dola; mwenzake Pompeius aliomwogopa Caesar akajaribu kushawishi viongozi wengine kumsimamisha. Lakini mwaka 49 Caesar aliongoza wanajeshi lake wakirudi Italia. Pompeius na wapinzani wake walitoka Roma wakaenda [[Ugiriki]] iliyokuwa jimbo la kiroma. Mwaka 48 Caesar akachaguliwa tena kuwa Konsul. Akamfuata Pompeius kwa jeshi lake akamshinda katika mapigano. Pompeius alikimbia kwenda [[Misri]] lakini mfalme [[Ptolemaio XIII.]] alimwogopa Caesar akamwua Pompeius akampatia Caesar kichwa chake alipofika Misri. Caesar alikutana na dadake Ptolemaio [[Kleopatra]] akampenda na kuzaa mwana wake wa pekee naye. Akamsaidia Kleopatra kuwa malkia na mtawala wa Misri.
Baada ya kufanikiwa Gallia na kujenga jeshi kubwa tena hodari, wanasiasa wengine huko Roma walianza kumwogopa wakajaribu kumzuia asirudi [[Italia]]. Mwenzake Crassus alikuwa amekufa tayari vitani mashariki mwa dola; mwenzake Pompeius aliomwogopa Caesar akajaribu kushawishi viongozi wengine kumsimamisha.
Lakini mwaka [[49 KK]] Caesar aliongoza wanajeshi lake warudi Italia. Pompeius na wapinzani wake walitoka Roma wakaenda [[Ugiriki]] iliyokuwa jimbo la Kiroma. Mwaka [[48 KK]] Caesar akachaguliwa tena kuwa Konsul. Akamfuata Pompeius kwa jeshi lake akamshinda katika mapigano. Pompeius alikimbia kwenda [[Misri]] lakini [[mfalme]] [[Ptolemaio XIII]] alimwogopa Caesar akamwua Pompeius akampatia Caesar [[kichwa]] chake alipofika Misri. Caesar alikutana na dada yake Ptolemaio [[Kleopatra]] akampenda na kuzaliana naye [[mwana]] wake pekee. Akamsaidia Kleopatra kuwa [[malkia]] na [[mtawala]] wa Misri.

== Kuchaguliwa dikteta hadi kifo ==
[[Picha:RSC 0022 - transparent background.png|thumb|300px|Caesar alikuwa [[binadamu]] wa kwanza aliyeonyeshwa kwenye [[sarafu]] za Roma]]
Caesar alirudi Roma kutoka Misri akiwa [[mshindi]] dhidi ya wapinzani wote. Bunge la Senatus lilimpa cheo na [[madaraka]] ya [[dikteta]] kwa miaka 10. Baada ya [[ushindi]] mwingine dhidi ya wapinzani huko Hispania bunge lilibadilisha [[azimio]] hilo kumpa cheo cha [[dikteta]] wa [[maisha]]. Caesar alipokea azimio hili.


Sasa sehemu ya wabunge waliogopa ya kwamba nia yake ilikuwa kuwa mfalme wa Roma - jambo lililokuwa [[marufuku]] katika jamhuri ya Roma. Kikundi cha wabunge -wote makabaila wa familia za kale- kiliunga mikono wakamwua Caesar bungeni tarehe [[15 Machi]] [[44 KK]] kwa kumdunga [[kisu]] mara 23. Caesar anasemekana alimtambua [[mpwa]] wake Brutus akamwuliza kwa maneno yake ya mwisho: "Hata wewe mwanangu?"
== Achaguliwa dikteta - kifo ==
[[Picha:RSC 0022 - transparent background.png|thumb|300px|Caesar alikuwa mwanadamu wa kwanza aliyeonyeshwa kwenye sarafu za Roma]]
Caesar alirudi Roma kutoka Misri akiwa mshindi dhidi ya wapinzani wote. Bunge la Senatus lilimpa cheo na madaraka ya [[dikteta]] kwa miaka 10. Baada ya ushindi mwingine dhidi ya wapinzani huko Hispania bunge lilibadilisha azimio hili kumpa cheo cha dikteta wa maisha. Caesar alipokea azimio hili. Sasa sehemu ya wabunge waliogopa ya kwamba nia yake ilikuwa kuwa mfalme wa Rome - jambo lililokuwa marufuku katika jamhuri ya Roma. Kikundi cha wabunge -wote makabaila wa familia za kale- waliunga mikono wakamwua Caesar bungeni tar. 15. 03. 44 KK kwa kumdunga kisu mara 23. Caesar anasemekana alimtambua mpwa wake Brutus akamwuliza kwa maneno yake ya mwisho: "Hata wewe mwanangu?".


Caesar hakuwa na watoto bali na huyu mwana wa Kleopatra asiyekuwa Mroma. Kabla ya kifo chake alikuwa amempanga mtoto mpwa wake Oktaviano. Huyu Oktaviano -aliyejulikana baadaye kama [[Augusto]] na mtawala wa kwanza wa Dola la Roma- alilipiza kisasi chake katika kipindi cha vita ya wenyewe kwa wenyewe na kuua wapinzani wote wa Caesar.
Caesar hakuwa na watoto ila huyu mwana wa Kleopatra asiyekuwa Mroma. Kabla ya [[kifo]] chake alikuwa amempanga mtoto mpwa wake Oktaviano. Huyu Oktaviano -aliyejulikana baadaye kama [[Augusto]] na mtawala wa kwanza wa Dola la Roma- alilipiza [[kisasi]] chake katika kipindi cha [[vita ya wenyewe kwa wenyewe]] na kuua wapinzani wote wa Caesar.
Miaka miwili baada ya kifo chake bunge lilimtangaza Caesar ndiye mungu.
Miaka miwili baada ya kifo chake bunge lilimtangaza Caesar kuwa mungu.


==Marejeo==
==Marejeo==
Mstari 39: Mstari 44:
[[Jamii:Kaisari]]
[[Jamii:Kaisari]]
[[Jamii:Watu wa Roma ya Kale]]
[[Jamii:Watu wa Roma ya Kale]]
[[Jamii:Waandishi wa Roma ya Kale]]
[[Jamii:Waandishi wa Kilatini]]


{{Link FA|eu}}
{{Link FA|eu}}

Pitio la 09:12, 30 Novemba 2014

Gaius Julius Caesar (tamka gayus yulius kaesar[1] - 100 - 44 KK) alikuwa kiongozi wa kisiasa na wa kijeshi wa Roma ya Kale.

Anakumbukwa hasa kwa mafanikio mbalimbali yanayoonekana kuathiri dunia hadi leo.

Baadhi ya mafanikio hayo ni:

  • Waroma wa Kale walimheshimu kushinda viongozi wote waliomfuata au kutangulia akatangazwa kuwa mungu. Jina lake lilipata kuwa neno kwa ajili ya cheo cha watawala wa Kiroma waliomfuata. Kutokana na badiliko hilo la jina "Caesar" kuwa cheo, lugha mbalimbali zilipokea cheo hicho kama vile Kijerumani ("Kaiser"), Kirusi ("Tsar") na Kiswahili ("Kaisari" - kutokana na neno la Kijerumani).

Kupanda ngazi

Alizaliwa katika familia ya makabaila wenye nafasi katika Senatus ilivyoitwa bunge la Roma. Aliingia katika siasa, akachaguliwa kwa vyeo mbalimbali kwa vipindi vya kawaida wa miezi kadhaa hadi mwaka moja.

Cheo chake muhimu cha kwanza kilikuwa mkuu wa koloni la Kiroma la Hispania. Alifaulu kushinda ghasia ya Wahispania wenyeji waliojaribu kuwafukuza Waroma kutoka nchini mwao. Caesar aliporudi Roma alitajirika na kujipatia sifa kama kiongozi wa kijeshi pia mwanasiasa aliyeokoa koloni muhimu la Hispania.

Baadaye Caesar alijiunga na wanasiasa wawili wengine: Gnaeus Pompeius Magnus aliyekuwa mkuu wa wanajeshi na Marcus Licinius Crassus aliyekuwa tajiri kushinda Waroma wote. Wote watatu waliunda umoja ulioitwa "triumviratus", yaani umoja wa wanaume watatu, wakashika mamlaka katika dola. Caesar alichaguliwa kwa cheo kikuu yaani Konsul kwa mwaka 59 KK. Baada ya mwisho wa kipindi chake alijipatia cheo cha Prokonsul au gavana wa eneo la Gallia ya Kiroma (Italia ya Kaskazini na eneo dogo la Ufaransa ya Kusini).

Vita ya Gallia

Alitumia nafasi hii kuanzisha vita dhidi ya makabila ya Gallia huru yaani eneo lote la Ufaransa, Uswisi na Ubelgiji ya leo. Katika miaka minane ya 58 - 51 KK alitwaa Gallia yote. Aliingia pia ndani ya Germania (Ujerumani) na kuvuka bahari aliposhambulia upande wa kusini wa Britannia. Aliandika kitabu cha "De bello gallico" (yaani Vita ya Gallia) akieleza mapigano yake. Kitabu hicho kina habari muhimu za kihistoria juu ya utamaduni wa makabila ya Gallia, Germania na Britannia aliyopigana nayo.

Vita vya wenyewe kwa wenyewe

Baada ya kufanikiwa Gallia na kujenga jeshi kubwa tena hodari, wanasiasa wengine huko Roma walianza kumwogopa wakajaribu kumzuia asirudi Italia. Mwenzake Crassus alikuwa amekufa tayari vitani mashariki mwa dola; mwenzake Pompeius aliomwogopa Caesar akajaribu kushawishi viongozi wengine kumsimamisha.

Lakini mwaka 49 KK Caesar aliongoza wanajeshi lake warudi Italia. Pompeius na wapinzani wake walitoka Roma wakaenda Ugiriki iliyokuwa jimbo la Kiroma. Mwaka 48 KK Caesar akachaguliwa tena kuwa Konsul. Akamfuata Pompeius kwa jeshi lake akamshinda katika mapigano. Pompeius alikimbia kwenda Misri lakini mfalme Ptolemaio XIII alimwogopa Caesar akamwua Pompeius akampatia Caesar kichwa chake alipofika Misri. Caesar alikutana na dada yake Ptolemaio Kleopatra akampenda na kuzaliana naye mwana wake pekee. Akamsaidia Kleopatra kuwa malkia na mtawala wa Misri.

Kuchaguliwa dikteta hadi kifo

Caesar alikuwa binadamu wa kwanza aliyeonyeshwa kwenye sarafu za Roma

Caesar alirudi Roma kutoka Misri akiwa mshindi dhidi ya wapinzani wote. Bunge la Senatus lilimpa cheo na madaraka ya dikteta kwa miaka 10. Baada ya ushindi mwingine dhidi ya wapinzani huko Hispania bunge lilibadilisha azimio hilo kumpa cheo cha dikteta wa maisha. Caesar alipokea azimio hili.

Sasa sehemu ya wabunge waliogopa ya kwamba nia yake ilikuwa kuwa mfalme wa Roma - jambo lililokuwa marufuku katika jamhuri ya Roma. Kikundi cha wabunge -wote makabaila wa familia za kale- kiliunga mikono wakamwua Caesar bungeni tarehe 15 Machi 44 KK kwa kumdunga kisu mara 23. Caesar anasemekana alimtambua mpwa wake Brutus akamwuliza kwa maneno yake ya mwisho: "Hata wewe mwanangu?"

Caesar hakuwa na watoto ila huyu mwana wa Kleopatra asiyekuwa Mroma. Kabla ya kifo chake alikuwa amempanga mtoto mpwa wake Oktaviano. Huyu Oktaviano -aliyejulikana baadaye kama Augusto na mtawala wa kwanza wa Dola la Roma- alilipiza kisasi chake katika kipindi cha vita ya wenyewe kwa wenyewe na kuua wapinzani wote wa Caesar.

Miaka miwili baada ya kifo chake bunge lilimtangaza Caesar kuwa mungu.

Marejeo

  1. Kwa matamshi ya Kilatini sanifu cha Kale herufi "C" ilikuwa na matamshi ya "K"; katika matamshi ya karne za baadaye ilikuwa zaidi "Ch" kwa hiyo "Chesar"; kutoka hapo yametokea matamshi ya Kiingereza "Sizar"

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA