Kisasi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kisasi (kutoka neno la Kiarabu; kwa Kiingereza: revenge) ni nia ya kulipiza ubaya uliotendewa, kinyume cha kutoa msamaha.

Kwa namna ya pekee Yesu Kristo alielekeza wafuasi wake kutotunza moyoni nia za namna hiyo, bali kuwahi kurudisha mema kwa mabaya ili kuishi kwa amani (Math 5:38-41).