Manispaa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Holder (majadiliano | michango)
d corr using AWB
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Manispaa''' (ing. ''municipality'') ni [[mji]] mwenye kiwango fulani ya kujitawala katika shughuli zake.
'''Manispaa''' (kwa Kiingereza: ''municipality'') ni [[mji]] wenye kiwango fulani cha kujitawala katika shughuli zake.


Madaraka haya ni pamoja na haki ya kutawaliwa na serikali ya kimahali iliyochaguliwa na watu wa manisipaa (badala ya kusimamiwa na mwakilishi wa serikali kuu), kuamulia na kukusanya kodi fulani katika eneo la manisipaa na kupanga makisio yake yenyewe.
[[Madaraka]] hayo ni pamoja na haki ya kutawaliwa na [[serikali]] ya mahali iliyochaguliwa na watu wa manispaa (badala ya kusimamiwa na mwakilishi wa [[serikali kuu]]) kuamulia na kukusanya [[kodi]] fulani katika eneo la maniipaa na kupanga makisio yake yenyewe.


==Manispaa za Tanzania==
==Manispaa za Tanzania==
Nchini [[Tanzania]] manispaa ni mji mwenye wakazi zaidi ya 100,000 hadi 500,000.
Nchini [[Tanzania]] manispaa ni mji wenye wakazi zaidi ya 100,000 hadi 500,000.


Katika muundo wa utawala manispaa za Tanzania zinahesabiwa kama wilaya. Serikali ya manisipaa huitwa Halmashauri ya manispaa (''Municipal Council'').
Katika muundo wa [[utawala]] manispaa za Tanzania zinahesabiwa kama [[wilaya]]. Serikali ya manispaa huitwa Halmashauri ya manispaa (''Municipal Council'').

Manisipaa za Tanzania ni [[Bukoba (mji)|Bukoba]], [[Dodoma (mji)|Dodoma]], [[Iringa (mji)|Iringa]], [[Kigoma (mji)|Kigoma]], [[Lindi (mji)|Lindi]], [[Morogoro (mji)|Morogoro]], [[Moshi (mji)|Moshi]], [[Mtwara (mji)|Mtwara]], [[Musoma (mji)|Musoma]], [[Shinyanga (mji)|Shinyanga]], [[Singida (mji)|Singida]], [[Songea (mji)|Songea]], [[Sumbawanga (mji)|Sumbawanga]], [[Tabora (mji)|Tabora]].

Halafu kuna masisipaa tano ambazo ni sehemu ya majiji mawili.
*[[Jiji la Dar es Salaam]] limegawiwa kwa manispaa (wilaya) tano za [[Wilaya ya Kinondoni|Kinondoni]], [[Temeke]], [[Ilala]], [[Ubungo]] na [[Kigamboni]] (wilaya mbili zimeongozewa mwaka wa 2016 ambazo ni Kigamboni na Ubungo).
*[[Jiji la Mwanza]] limegawiwa kwa manispaa (wilaya) za [[Nyamagana]] na [[Ilemela]]


Manispaa za Tanzania ni [[Bukoba (mji)|Bukoba]], [[Dodoma (mji)|Dodoma]], [[Iringa (mji)|Iringa]], [[Kahama (mji)|Kahama]], [[Kigoma (mji)|Kigoma]], [[Lindi (mji)|Lindi]], [[Morogoro (mji)|Morogoro]], [[Moshi (mji)|Moshi]], [[Mtwara (mji)|Mtwara]], [[Musoma (mji)|Musoma]], [[Shinyanga (mji)|Shinyanga]], [[Singida (mji)|Singida]], [[Songea (mji)|Songea]], [[Sumbawanga (mji)|Sumbawanga]] na [[Tabora (mji)|Tabora]].


Halafu kuna manispaa saba ambazo ni sehemu ya [[Jiji|majiji]] mawili.
*[[Jiji la Dar es Salaam]] limegawiwa katika manispaa (wilaya) tano za [[Wilaya ya Kinondoni|Kinondoni]], [[Temeke]], [[Ilala]], [[Ubungo]] na [[Kigamboni]] (wilaya mbili za mwisho zimeongozwa mwaka wa [[2016]]).
*[[Jiji la Mwanza]] limegawiwa katika manispaa (wilaya) za [[Nyamagana]] na [[Ilemela]]
{{mbegu-sheria}}
[[Jamii:Miji]]
[[jamii:Tanzania]]
[[jamii:Tanzania]]

[[Jamii:Miji]]

Pitio la 06:10, 30 Januari 2021

Manispaa (kwa Kiingereza: municipality) ni mji wenye kiwango fulani cha kujitawala katika shughuli zake.

Madaraka hayo ni pamoja na haki ya kutawaliwa na serikali ya mahali iliyochaguliwa na watu wa manispaa (badala ya kusimamiwa na mwakilishi wa serikali kuu) kuamulia na kukusanya kodi fulani katika eneo la maniipaa na kupanga makisio yake yenyewe.

Manispaa za Tanzania

Nchini Tanzania manispaa ni mji wenye wakazi zaidi ya 100,000 hadi 500,000.

Katika muundo wa utawala manispaa za Tanzania zinahesabiwa kama wilaya. Serikali ya manispaa huitwa Halmashauri ya manispaa (Municipal Council).

Manispaa za Tanzania ni Bukoba, Dodoma, Iringa, Kahama, Kigoma, Lindi, Morogoro, Moshi, Mtwara, Musoma, Shinyanga, Singida, Songea, Sumbawanga na Tabora.

Halafu kuna manispaa saba ambazo ni sehemu ya majiji mawili.

Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Manispaa kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.